Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu...
4 Reactions
14 Replies
348 Views
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini 1. Ukimuita jina lake hageuki 2. Anapiga makelele tu 3.kuna wakati...
25 Reactions
196 Replies
5K Views
Challenge kwenu wadau
1 Reactions
29 Replies
631 Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu...
9 Reactions
82 Replies
1K Views
Wakuu kwa Mil 3- 5 naweza pata kiwanja cha makazi kwa maeneo tajwa hapo juu ?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
4 Reactions
14 Replies
302 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
34 Reactions
184 Replies
2K Views
Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya jeshi la polisi nchini. Inasemekana ndani ya selo za Kigoto...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo. Japo Kizungu cha "makamanda" wetu...
1 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,885
Posts
49,558,325
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom