Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
15 Reactions
94 Replies
545 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa: Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
1 Reactions
26 Replies
403 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Madogo hawajarogwa, wameuwasha sio kawaida, wana spidi, nguvu, control na ball limetembea haswaaa
1 Reactions
4 Replies
101 Views
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
13 Reactions
127 Replies
3K Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
43 Reactions
284 Replies
5K Views
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Habarini wana jamvi. Natumai mko pouwa kabisah. Kama heading inavyojieleza, hivi ni jambo gani ambalo mpenzi wake alilifanya siri ili wewe usilijue lakini kwa bahati mbaya ukalifahamu, kwa njia...
5 Reactions
89 Replies
13K Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
0 Reactions
24 Replies
175 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,844
Posts
49,556,996
Members
667,672
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom