Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama Au pale Kanisani Machame...
2 Reactions
21 Replies
189 Views
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
6 Reactions
22 Replies
605 Views
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
1 Reactions
26 Replies
394 Views
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
3 Reactions
14 Replies
267 Views
Habari Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee...
18 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
21 Reactions
138 Replies
9K Views
Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano . Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
4 Reactions
30 Replies
942 Views
Wanahabari wamelalama kuwa wanadai serikali jumla ya bilioni 18 za kitanzania. Haya malimbikizo ya madeni kwa miaka kadhaa ambayo yametajwa kuathiri uchumi wa vyombo vya habari. Suala la madeni...
0 Reactions
0 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,723
Posts
49,553,812
Members
667,582
Latest member
Juma pindi
Back
Top Bottom