Rejea kichwa cha habari... naomba mtu yeyote au muajiri aliepo humu JF naomba kazi ya kufundisha masomo ya English language, history na civic elimu yangu ni shahada ya ualimu...
Napatikana Mwanza...
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo.
1. SECRETARY
Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee...
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kituo Cha Utafiti wa Madini na miamba GST imeripoti kwamba kuanzia mwaka 2023 Hadi machi 2024, Jumla ya matukio 30 ya Matetemeko Makubwa ya Ardhi Nchi nzima.
Mikoa 5 ndio imeripoti matukio ya...
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi...
Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao...
Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.