Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Japo hazina uthibitisho wa kuaminika, lakini kutokana na hali ilivyo, unaweza ukashawishika kuziamini. Maelezo ya mtu anayedai kuwa alikuwa Mwenyekiti wa wachawi wa Tanzania kabla ya kuachana nao...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
1 Reactions
21 Replies
431 Views
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga. Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga...
1 Reactions
12 Replies
184 Views
Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
12 Reactions
103 Replies
2K Views
Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa...
1 Reactions
3 Replies
58 Views
Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika Unaambiwa zima simu yako tafadhali Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa. Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
5 Reactions
10 Replies
142 Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
27 Reactions
182 Replies
5K Views
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA. Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo...
14 Reactions
82 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,817
Posts
49,555,979
Members
667,656
Latest member
WhiteShadow
Back
Top Bottom