Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
17 Reactions
168 Replies
3K Views
Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Match Day. NBC Premier League. Simba vs Mtibwa Azam Complex 04.00 PM Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
5 Reactions
105 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
1 Reactions
7 Replies
82 Views
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga. Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga...
1 Reactions
13 Replies
216 Views
Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu...
3 Reactions
7 Replies
101 Views
Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakubwa habarini za muda huu Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza naomba mwenye kujua shule yoyote ya boarding yenye ada isiyozidi 1.5 million anisaidie japo kwa majina yake ama mawasiliano...
1 Reactions
26 Replies
443 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,825
Posts
49,556,196
Members
667,673
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom