Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, Leo amewasilisha katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa Rufaa No.155 ya Mwaka 2022 Aliyokua ameikata dhidi ya...
2 Reactions
12 Replies
190 Views
Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
2 Reactions
27 Replies
235 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha...
2 Reactions
2 Replies
114 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
16 Reactions
150 Replies
3K Views
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
10 Reactions
63 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
2 Reactions
12 Replies
112 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
1 Reactions
3 Replies
38 Views
Sasa wananchi tukimbilie chama gani? https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1786251731120058804?s=19
0 Reactions
10 Replies
223 Views
Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa...
25 Reactions
801 Replies
30K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,791
Posts
49,555,183
Members
667,656
Latest member
Seb Jr
Back
Top Bottom