Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake.
Pia...
Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika...
Habari za asubuhi wana JF,
Iko hivi, nina rafiki yangu ana mtoto (naweza nikasema ni single mom) ila isieleweke vibaya, nilisomaga nae O level huko ila nikama bahati tu tumejikuta tunaishi tena...
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Socrates aliwahi sema"Akili kubwa hujadili hoja, akili ya wastani hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu".
Mjadala unaoendelea sasa nchini kuhusu muungano ni muhimu kwa maslahi...
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.