Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga. Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga...
0 Reactions
3 Replies
49 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
16 Reactions
126 Replies
4K Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
7 Reactions
280 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
3 Reactions
127 Replies
1K Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
35 Reactions
240 Replies
4K Views
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
276 Reactions
51K Replies
18M Views
Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa...
1 Reactions
2 Replies
15 Views
Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
3 Reactions
7 Replies
96 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,685
Posts
49,552,982
Members
667,574
Latest member
BabuKijiko
Back
Top Bottom