Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salam kwenu Watanganyika na wazanzibari! Tumeshuhudia Dp world wakiripotiwa kuwa wameanza majukumu pale bandari salama. Hatua kadhaa zimekuwa zikuchukuliwa kuweka mifumo yao sawia. Sote...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Ndugu. Naomba kumpata msambazaji wa wine toka Dodoma
0 Reactions
13 Replies
117 Views
02 May 2024 Iringa, Tanzania Mazito yawekwa hadharani pesa za Samia na Abdul .... hazipelekwi kunakohusika zimeelekezwa CHADEMA kwanini wakati viongozi wa ngazi za chini CCM walio maelfu wanalia...
4 Reactions
16 Replies
551 Views
A
Anonymous
Wana jamvi, Naandika kutoka shule ya msingi Mugundu ilioko mkoa wa Singida,wilaya ya Iramba,tarafa ya kinampanda,kata ya Kyengege. Tuna shida ya uongozi wa shule alihamishwa mwl mkuu Sebastian...
0 Reactions
2 Replies
8 Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
57 Replies
496 Views
Wakuu.... Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani.. Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai...
2 Reactions
24 Replies
331 Views
Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
3 Reactions
38 Replies
542 Views
Wakuu, Mwezi Mei mwaka jana, kuna dada yangu mmoja aligombana na mumewe na kukimbilia kwangu. Nilipoongea na mumewe, akasema yeye hana tatizo nae, arudi tu wayamalize. Nilipomsihi dada arudi...
17 Reactions
106 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,560
Posts
49,549,973
Members
667,538
Latest member
manageble
Back
Top Bottom