Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

#HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa...
0 Reactions
4 Replies
53 Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
23 Replies
150 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
15 Reactions
167 Replies
4K Views
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU Na, Suphian Juma Nkuwi. Salaams Watanzania wenzangu, Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
7 Replies
59 Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
25 Reactions
240 Replies
10K Views
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
9 Reactions
87 Replies
2K Views
Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
4 Reactions
29 Replies
1K Views
CHRISTINA SHUSHO AMEMKOSEA MUMEWE, ATUBU Kitendo cha Christina Shusho kusema kwamba aliozeshwa akiwa mdogo bila idhini yake ni kumdhalilisha huyo aliyekuwa mume wake kwamba alikuwa mkubwa sana...
2 Reactions
51 Replies
704 Views
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo...
1 Reactions
3 Replies
144 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,526
Posts
49,549,220
Members
667,529
Latest member
Gerard lupin
Back
Top Bottom