Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za mei mosi wakuu Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts. Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo simu...
1 Reactions
21 Replies
200 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
30 Reactions
215 Replies
3K Views
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo...
1 Reactions
10 Replies
258 Views
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer. Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga...
1 Reactions
8 Replies
43 Views
Jamaa ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Jamaa ana camera kaifunga nadhani kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda). Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
9 Reactions
53 Replies
1K Views
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions Dondoo muhimu: vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila...
12 Reactions
395 Replies
7K Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
2 Reactions
26 Replies
404 Views
Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado...
2 Reactions
4 Replies
142 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,591
Posts
49,550,879
Members
667,543
Latest member
Winnie Urio
Back
Top Bottom