Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Salam kwenu. Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje ! 1. Changu 2. Sato 3. Kibua 4. Sangara 5. Kambare 6. Perege 7. Migebuka 8. Pweza 9...
2 Reactions
258 Replies
48K Views
Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa Mfano wizara ya Afya Wizara ya Kilimo
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail...
3 Reactions
36 Replies
977 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
3 Reactions
19 Replies
108 Views
Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
16 Reactions
141 Replies
2K Views
  • Suggestion
Utangulizi Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa...
5 Reactions
13 Replies
138 Views
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
2 Reactions
38 Replies
374 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,486
Posts
49,547,968
Members
667,506
Latest member
tonnie de viola
Back
Top Bottom