Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu...
0 Reactions
3 Replies
44 Views
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
4 Reactions
17 Replies
116 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Katika moja ya tafiti zilizofanyika nchini Marekani, ilibainika kuwa mafanikio ya mtu kikazi yanategemea: 1. Ufanisi katika taaluma aliyo nayo asilimia 15 2. Ufundi wa kuzungumza asilimia...
0 Reactions
4 Replies
24 Views
Zamani ilikua wanaume ndo tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikua wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
9 Reactions
98 Replies
2K Views
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅 Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo...
0 Reactions
13 Replies
238 Views
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabangi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
1 Reactions
12 Replies
104 Views
Wanajamvi, Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali. Na huenda hutaki kuachwa nyuma. Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo: Ana...
0 Reactions
1 Replies
27 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,502
Posts
49,548,414
Members
667,505
Latest member
tonnie de viola
Back
Top Bottom