Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU
Na, Suphian Juma Nkuwi.
Salaams Watanzania wenzangu,
Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu...
Licha ya kuwa na timu nzuri,mipango mingi ya kimafia nje ya uwanja,na ushindi dhidi ya Simba,bado kumekuwa na kubebwa sana kwa hii timu ya serikali.
Ni kawaida wachezaji wa hii timu huwa na...
#HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
02 May 2024
Iringa, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=hAmMicfjF0s
Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za...
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅
Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.