Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali.
Ikitokea mchezaji mzuri...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
Ndugu zangu anpenda kumpongeza mama Samai Kwa kupiga chinia mambi ya kimagufuri.Sasa tunaona umetangaza ajira zilizonuwa wakilati wa presidential unit amabzo zimetangazwa na Oficce ya mipango.Safi...
1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda.
2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA...
Utangulizi
Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
CHRISTINA SHUSHO AMEMKOSEA MUMEWE, ATUBU
Kitendo cha Christina Shusho kusema kwamba aliozeshwa akiwa mdogo bila idhini yake ni kumdhalilisha huyo aliyekuwa mume wake kwamba alikuwa mkubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.