Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
1 Reactions
80 Replies
749 Views
Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
1 Reactions
10 Replies
233 Views
Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Habari wakuu, natumaini mapambano ya maisha yanaendelea… Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajihidi nieleweke, bila kupoteza wakati, leo ningependa kushare jambo kuhusu pesa za moto’ (real story)...
0 Reactions
5 Replies
200 Views
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa awajajua Majuzi nilikuwa napga kwa shemeji yenu ana simu mbili..ya kwanza ilibaki nyumban ya pili piga kimya aipatikan na kaaga anaenda...
1 Reactions
6 Replies
104 Views
Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa. Mfano ilikuwa...
5 Reactions
8 Replies
853 Views
Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
4 Reactions
34 Replies
439 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
9 Reactions
82 Replies
1K Views
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC chunya, DeD chunya,. Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo , vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo. Kijiji...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,634
Posts
49,551,805
Members
667,564
Latest member
Imani Racton Felecian
Back
Top Bottom