Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
1 Reactions
104 Replies
1K Views
Ni maamrisho ya Mungu,ni lazima muoane,msidanganywe na hadaa za walimwengu
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Makonda aisisitiza GGML kuhakikisha CSR inabadilisha maisha ya wana-Geita - MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuhakikisha fedha...
3 Reactions
10 Replies
154 Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
7 Reactions
80 Replies
528 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Ukweli uko hivo Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa, Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno. Wafanyakazi...
5 Reactions
15 Replies
232 Views
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika...
1 Reactions
9 Replies
153 Views
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo...
2 Reactions
39 Replies
688 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,334
Posts
49,543,968
Members
667,407
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom