Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali.
Ikitokea mchezaji mzuri...
KIJANA HUNA NAFASI YA KUKAA KIJIWENI KISHA KULAUMU SERIKALI HAIJAKUPA AJIRA.
Leo ukifatilia tabia za vijana walio wengi, ni kushinda kijiweni kujadili wanawake, kuvuta bangi na sigara, madawa ya...
Mara kadhaa kama jamii tumejikuta tukiwa na dhana mbaya sana kuhusu maafisa usalama hususani ni askari polisi, mgambo na kadhalika. Takwimu nyingi zimeonesha kuwa jamii haina imani kabsa na...
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
Mnyonge mnyongeni, lkn haki yake mpeni.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Ni misemo baadhi ambayo makonda inaweza kumfaa kuelezea namna alivyo. Makonda kama angekua kwenye movie basi ni wale...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.