Sitawafundisha Kila kitu ila Inauma sana Kuona Nchi jirani ya Zanzibar wao wakiongezwa Posho na Kiasi cha Mshahara Huku mabwanyeye wa Tanzania Bara wakituacha kama Vile sisi ni Matahira na kutupa...
Wanaukumbi.
Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel.
Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo...
Wanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
Dunia ni nzuri kwa sababu ya sayansi, na sayansi ni nzuri kwa sababu ya wanawake. Hivi karibuni ulifanyika Mkutano wa Baraza la Kimataifa la Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia la Wanawake wa mwaka...
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
Zito Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zito ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.