Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Nilikuwa nataka kwenda dubai kutafuta kazi nina Bachelor ya Electronics and Telecommunication Engineering. Kwa yoyote anayejua kuhusu kule taratibu za kupata kazi naomba anielekeze
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari za wakati huu wana JF, Bila kupoteza muda mimi ni kijana wa Kitanzania ninayeishi nchini Kenya kwa sasa, maisha ya huku sio mbaya lakini kutokana na shauku yangu ya kutaka kufanikiwa...
6 Reactions
95 Replies
17K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
3 Reactions
42 Replies
590 Views
Mpambano wa majiji mawili ya kanda ya ziwa
6 Reactions
5K Replies
383K Views
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo 1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako...
2 Reactions
3 Replies
92 Views
Watanzania mjue jambo moja tu. Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo. Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo. Raisi Samia angalia hili
5 Reactions
24 Replies
447 Views
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani...
5 Reactions
30 Replies
280 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,312
Posts
49,543,146
Members
667,402
Latest member
mpomalamu
Back
Top Bottom