Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.
Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo...
Nilikuwa nataka kwenda dubai kutafuta kazi nina Bachelor ya Electronics and Telecommunication Engineering. Kwa yoyote anayejua kuhusu kule taratibu za kupata kazi naomba anielekeze
Habari za wakati huu wana JF,
Bila kupoteza muda mimi ni kijana wa Kitanzania ninayeishi nchini Kenya kwa sasa, maisha ya huku sio mbaya lakini kutokana na shauku yangu ya kutaka kufanikiwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola...
Habari
Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo
1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.