Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings.
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja.
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field...
Habari ya muda huu wakuu, naimani tuko wazima.
Karibuni sana NGC inapatikana uwanja wa ndege/Kipawa barabara ya karakata karibu na hotel ya New FQ hotel. S L P 70478 DSM
Email ...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na genge lake la kihuni lenye nia ovu ya kuleta machafuko nchini kupitia suala la Muungano. Anachokifanya...
Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ni aibu kwa TFF kuwa sehemu ya uharamia wa soka Tanzania.... Patrick Nyembera alimhoji Fiston Mayele akiwa kwenye kambi ya Simba Cairo, Nyembera ni mnazi wa simba inajulikana Mayele anawakilishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.