Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni ajabu sana kuona watu walio wamoja kwa makabila na tamaduni leo wanajitafautisha kwa misingi ya mkoloni na kujiona ni watu tofauti kabisa richa ya kua ni watu walewale fikaaa. Ingawa mkoloni...
34 Reactions
182 Replies
5K Views
Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
9 Reactions
118 Replies
2K Views
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke...
20 Reactions
240 Replies
4K Views
Wana JF, walaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
7 Reactions
31 Replies
739 Views
Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule...
2 Reactions
19 Replies
151 Views
Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari. Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa...
24 Reactions
30 Replies
1K Views
Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri...
4 Reactions
11 Replies
188 Views
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail...
2 Reactions
12 Replies
334 Views
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
14 Reactions
170 Replies
2K Views
Unamkubali zaidi nani kati ya John Cena na The Rock
0 Reactions
1 Replies
167 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,462
Posts
49,547,213
Members
667,478
Latest member
ramadhanramadhan
Back
Top Bottom