Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
20 Reactions
128 Replies
8K Views
Wadada wa jf Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife Na wamezaa watoto 2 Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba shemeji hataki kufanya sex kabisa Dogo...
3 Reactions
26 Replies
718 Views
Wana jamvi wenzangu, Nina usafiri wangu binafsi natafuta abiria, tuwasiliane kama unahitaji au kuniunganisha kwa mhitaji % ipo. Contact 0787711528.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jeshi la Polisi limemkamata wakili Yonas Masiaya na kumnyima dhamana. Tukio hilo limetokea jana jioni, Aprili 30, 2024, huku likiwaacha wengi wakijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa kisheria...
1 Reactions
25 Replies
721 Views
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda. Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari. Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya...
5 Reactions
20 Replies
314 Views
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya...
11 Reactions
37 Replies
468 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
  • Suggestion
Tanzania Tuitakayo, huweza kuja kwa kuwa na taifa moja ambalo ni rafiki zaidi ya ndugu (Special Relationship) kama urafiki (Special Relationship) uliopo kati ya mataifa yaliyoendelea zaidi...
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Ukiangalia mifumo ya dunia mingi ni universal, lakini hali ni tofauti kwenye uendeshaji wa magari! Kuna nchi unaendesha kushoto, nyingine kulia, nisichoelewa ni kipi kilisababisha wasikubaliane...
5 Reactions
8 Replies
438 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,214
Posts
49,540,107
Members
667,352
Latest member
mwamatenge jay
Back
Top Bottom