Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
Sijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (masage)mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika.
Au kuna siri...
GTs,
Sijamuona Katibu Mkuu CDE Dkt Nchimbi na CDE Makalla kwenye Mei Mosi hapa Arusha. Ila nadhani kimoyo moyo walijisema lazima watu wasusie kwenda Arusha kisa Makonda. Ila kwa hiyo nyomi nadhani...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mojawapo wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa kifupi Nini kimeongezeka Mei Mosi Mwaka huu? Tumeamka na Bei Mpya ya Mafuta, imepanda tena.Changamoto ni zilezile ambazo MAJIBU yake ni kitendawili ambacho mteguaji ameshindwa naye mtegaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.