Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo...
1 Reactions
9 Replies
98 Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
15 Reactions
202 Replies
4K Views
Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
3 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views
Kama ambavyo post unaonyesha hapo juu ninaomba kujua kutoka Kwa watafiti wa biashara hailali mbalimbali zinazofanywa Kwa njia ya mitandao. Kwamba kijana huyu anafanya biashara hailali Kwa mujibu...
1 Reactions
3 Replies
55 Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
17 Reactions
115 Replies
2K Views
Sijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (massage) mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika. Au kuna siri...
2 Reactions
14 Replies
233 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Walimu zaidi ya 5000 mkoani Songwe wamejikuta wanamwaga machozi baada ya kuachwa solemba na viongozi wao wa CWT walio waahidi kuwaletea Tisheti watakazo vaa kwenye siku ya wafanyakazi kama...
5 Reactions
28 Replies
762 Views
Mwanang wa pekee amefariki masiku machache yaliyopita kwa kinachosadikiwa ni neumonia Toka azaliwe alikuwa na afya njema ila ghafla alipoamka asubh saa 3 akanyonya vizuri kidogo. Ghafla akabanwa...
2 Reactions
42 Replies
385 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,271
Posts
49,541,819
Members
667,377
Latest member
kawatega01
Back
Top Bottom