Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona...
28 Reactions
281 Replies
8K Views
Muundo wa Muungano wetu, hata kwenye mantiki ya kawaida una kasoro kubwa. Na kasoro hizo zipo wazi kwa kila mwenye akili timamu. Siyo kweli kuwa CCM na Serikali yake hawazioni au hawazijui hizo...
12 Reactions
29 Replies
557 Views
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari...
2 Reactions
10 Replies
481 Views
Mie ni kijna miaka 24 ,mwenye hofu ya Mungu na mpambanajii Mie ni mwenyeji wa Kahama , nipo mwanza kuanza maisha rasmi baada ya kumaliza chuo dar es salaam na kupambana sana , nimefanya biashara...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria...
5 Reactions
21 Replies
346 Views
Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa...
4 Reactions
61 Replies
973 Views
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
6 Reactions
22 Replies
256 Views
Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani...
4 Reactions
19 Replies
135 Views
Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work. Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa...
3 Reactions
10 Replies
175 Views
Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,292
Posts
49,542,515
Members
667,377
Latest member
kawatega01
Back
Top Bottom