Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo Mei mosi 2024, tunawatakia wafanyakazi wote wa Tanzania sikukuu njema. Salam zetu kwao ni kwamba; 1. tunawaasa wawe na mahusiano mazuri kazini, wapendane, waache kuoneana wivu, waache...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924. Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
7 Reactions
37 Replies
977 Views
Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
1 Reactions
14 Replies
170 Views
I'm Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo? Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa? Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
25 Reactions
60 Replies
957 Views
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU 2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE 3. Sare za chama cha walimu Tanzania (CWT) 4. Sare za chama cha...
0 Reactions
25 Replies
962 Views
Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa. Huyu mchezaji namfananisha na the great...
2 Reactions
7 Replies
106 Views
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic...
1 Reactions
2 Replies
65 Views
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
35 Reactions
129 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,009
Posts
49,535,103
Members
667,301
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom