Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuvuja kwa ripoti ya uchunguzi juu ya mgogoro kati ya shule ya sekondari ya Kibo na shule ya msingi ya Kiboshant uliofanywa na ofisi ya mdhibiti ubora wa shule Manispaa ya Moshi ,kumewaweka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni...
2 Reactions
10 Replies
183 Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani. Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
3 Reactions
21 Replies
842 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
0 Reactions
15 Replies
97 Views
Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano...
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
21 Reactions
262 Replies
4K Views
SALAMU ZA MEI MOSI Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) anawatakia wafanyakazi wote Heri Ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Nyongeza ya Mshahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,073
Posts
49,536,939
Members
667,318
Latest member
Jamesmagogo
Back
Top Bottom