Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nahitaji kunde ,maharage, choroko na njungumawe kwa bei ya jumla. Mimi nipo Dar, Mabibo.
1 Reactions
38 Replies
691 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
22 Reactions
267 Replies
4K Views
Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
24 Reactions
107 Replies
1K Views
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk...
61 Reactions
317 Replies
12K Views
SOLIDALITY! Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19. Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani...
1 Reactions
7 Replies
31 Views
Ndugu wananzengo habari ya asubuhi , Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka...
1 Reactions
3 Replies
75 Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
11 Reactions
66 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Hii nchi fursa ziko nyingi ila kuna fursa mbili wenye akili wakichangamkia unakuwa billionaire tena dollar billionaire haraka sana. Fursa ya kwanza kuna nguvu kazi imekaa...
6 Reactions
5 Replies
202 Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
0 Reactions
35 Replies
304 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,104
Posts
49,537,501
Members
667,323
Latest member
evaristy
Back
Top Bottom