Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu.
Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo?
Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa?
Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.