Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga...
8 Reactions
74 Replies
5K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho...
1 Reactions
33 Replies
807 Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
4 Reactions
14 Replies
207 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
5 Reactions
38 Replies
446 Views
Maisha yamejaa mambo ya kushangaza sana, ambayo Kuna wakati hutufanya tujutie juu ya uwapo wetu hapa ulimwenguni na kila changamoto inayo kuja hutupa hali ya upofu ile ya kutojua nini cha kufanya...
2 Reactions
2 Replies
27 Views
Muundo wa Muungano wetu, hata kwenye mantiki ya kawaida una kasoro kubwa. Na kasoro hizo zipo wazi kwa kila mwenye akili timamu. Siyo kweli kuwa CCM na Serikali yake hawazioni au hawazijui hizo...
7 Reactions
19 Replies
281 Views
Kwa upepo ulivyo vuma kule Bungeni huenda leo tukapata majibu ya kikokotoo Leo.
0 Reactions
10 Replies
88 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
8 Reactions
48 Replies
712 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
224 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,061
Posts
49,536,445
Members
667,316
Latest member
jafusadiki
Back
Top Bottom