Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari.
Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa...
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi?
Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi?
---
The US threatens the International Criminal Court in The Hague:
"If...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na...
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS
Maadhimisho...
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Huwezi mfanya Mwanamke...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
Tanzania huenda inaweza kuwa nchi pekee ya ajabu katika mambo mengi, likiwemo suala mfumo wa kodi.
Kiuhalisia kodi inayolipwa Serikalini, pamoja na malengo mengine, mojawapo ni kugharamia taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.