Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU 2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE 3. Sare za chama cha walimu Tanzania (CWT) 4. Sare za chama cha...
0 Reactions
22 Replies
853 Views
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
12 Reactions
25 Replies
481 Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
44 Reactions
146 Replies
5K Views
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
16 Reactions
107 Replies
2K Views
Kiwekwe kipindi cha mpito cha miezi sita kwa wavuta sigara wote nchini kwenda kukata leseni, hivyo ndani ya kipindi hicho waraibu / addicts wote wa nicotine/ tumbaku ambao kuacha sigara...
8 Reactions
80 Replies
6K Views
Kwenda australia urahisi wake upoje na maisha yake yapoje kijamii, kisiasa na kiuchumi
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
15 Reactions
223 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,995
Posts
49,534,666
Members
667,303
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom