Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
7 Reactions
41 Replies
1K Views
@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante' Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
3 Reactions
29 Replies
301 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
7 Reactions
77 Replies
710 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
9 Reactions
80 Replies
2K Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
6 Reactions
312 Replies
10K Views
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
19 Reactions
53 Replies
2K Views
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani...
5 Reactions
148 Replies
13K Views
Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi. Mabio...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa Kuanzia majina Maahali uliko zaliwa Wilaya uliko zaliwa Kijij uliko zaliwa...
2 Reactions
5 Replies
12 Views
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message...
1 Reactions
14 Replies
220 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,083
Posts
49,537,083
Members
667,317
Latest member
Jamesmagogo
Back
Top Bottom