Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
Nafuatilia mengi lkn haya hunipa wasiwasi upande wa CDM:-
* Kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali. i.e barabara, maji, umeme, tasaf, elimu bure, nk
* Masuala ya muungano - hapa wanaibua...
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.
Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Naona banks zimeingia kwenye ushindani wa bonds Kufuatia kuimarika Kwa Biashara ya mikopo yaani watu na kampuni za biashara zinamiminika sana kukopa hivyo banks zinalazimika kutafuta pesa Kwa...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka...
NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA
Nimejifunza mambo haya kwenye hili
1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.