NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje...
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.