Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa...
15 Reactions
131 Replies
11K Views
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant...
0 Reactions
4 Replies
49 Views
Nikiangalia ujezi wa reli ya SGR naona una track moja tu inayotoka Dar es Salaam mpaka Dodoma na ujenzi wa kwenda maeneo mengine kama Mwanza na Kigoma ukiendelea. Kuna matarajio makubwa sana...
4 Reactions
28 Replies
363 Views
Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi. Wakati ulimwengu unaendelea...
1 Reactions
3 Replies
626 Views
Kweli Kizimkazi anawanyoosha nyie wanyonge wa nchi hii Leo nilitoka nikapanda usafiri wa umma ni muda sana sijapanda daladala Kumbe nauli zimepanda kiasi hiki😢 Halafu mnaimba kuwa anaupiga...
3 Reactions
20 Replies
199 Views
Nimeshangaa Ewura leo tarehe 2/4/2022 kututaarifu kwamba mafuta yatapanda bei tarehe 5/4/2022. Hii ni sawa na kuhujumu uchumi kwani kesho na keshokutwa tutegemee uhaba wa mafuta. Wafanyabiashara...
4 Reactions
12 Replies
720 Views
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
3 Reactions
19 Replies
496 Views
Inashangaza sana. Yaani Lissu anatembea tu hivi hana ulinzi mkubwa kivile na kuna ambao hawapaswi kulindwa wanalindwa? Kuna miaka itakuja watoto na wajukuu wetu watatushangaa sana. Sijui...
3 Reactions
5 Replies
57 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
85 Reactions
633 Replies
16K Views
Tulipanda wote daladala kutokea ubungo 2013. Nilikuwa nasoma UD Certificate ya law. Ukaniambia ulisoma Mwalimu Nyerere, UD na wakati huo ulikuwa unachukua masters, uliniinspire kwa mengi...
3 Reactions
10 Replies
844 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,868
Posts
49,530,274
Members
667,271
Latest member
peter one
Back
Top Bottom