Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje...
Kufuatia kauli aliyoitoa hadharani siku chache baada ya muasisi wa Tanzania, Julius Nyerere kufariki Oktoba 14, 1999 Mtikila alisema “Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI, ni mzoga, nyamafu na...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa.
Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa.
Huyu...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wamati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye huwa anapenda ubaguzi au kubaguliwa au kumuunga mkono mtu anayeona amejaa mawazo ya kibaguzi na chuki katika kifua chake.kwa...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.