UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA.
Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni...
Kama kweli Zanzibar ni nchi basi wanaosema mtu katoka nchi ya zanzibar wapo sawa. Kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania basi sio nchi na hawana Uhuru wa kuitwa nchi. Zanzibar ingetakiwa kuwa na...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).
Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
Tangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.