Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana...
0 Reactions
1 Replies
39 Views
Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa...
86 Reactions
519 Replies
34K Views
Inashangaza sana. Yaani Lissu anatembea tu hivi hana ulinzi mkubwa kivile na kuna ambao hawapaswi kulindwa wanalindwa? Kuna miaka itakuja watoto na wajukuu wetu watatushangaa sana. Sijui...
2 Reactions
4 Replies
19 Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
3 Reactions
20 Replies
395 Views
Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na...
4 Reactions
12 Replies
743 Views
TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji Kwa sauti...
6 Reactions
87 Replies
5K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
304 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,867
Posts
49,530,198
Members
667,271
Latest member
peter one
Back
Top Bottom