Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel
Waziri huyo amepata...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c
Africa must be united
Haya yote anayoyafanya samia kwa kuiangamiza Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano ni kwa ridhaa ya watanzania wanaounda CCM. Wanajali maslahi yao na kusahau Tanganyka yao.
Jana Lisu amasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.