Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
11 Reactions
112 Replies
3K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Nawakumbusha tu Maana huwa mnajisahau sana hlf mkipigwa kitu kizito mnakuja hapa mbiombio kujiliza hapa na kutupa taabu ya kuwashauri. SIWAFOKEI ila tusilaumiane uko bdae.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
22 Reactions
212 Replies
3K Views
Siku ya leo nataka kuzungumza na wale vijana wenzangu ambao ni jobless lakini mkoo nyumbani hamna mishe yeyote mnayofanya huku mkitegemea kuna ndugu au jamaa alikuahidi ya kwamba. Atakufanyia...
4 Reactions
3 Replies
557 Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
10 Reactions
72 Replies
888 Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama . Christina...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
82 Replies
1K Views
Mpango mkuu wa Waislamu wenye itikadi ya kuinua Khilafa (yaani utawala wa Kislamu) Mpango huu una mafiga makuu matatu ambayo ni; 1) Kuitwaa Makka 2) Kuitwaa Yerusalemu 3) Kuitwaa Kostantinopo...
16 Reactions
63 Replies
2K Views
"...uwe na uwezo wa kuwaambia jamaa zako na marafiki zako, Ikulu ni mahali patakatifu, Mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Watanzania kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi.."
3 Reactions
17 Replies
299 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,729
Posts
49,526,197
Members
667,227
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom