Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
10 Reactions
75 Replies
958 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
89 Replies
1K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
31 Reactions
131 Replies
3K Views
Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute" Nawapigia Azam wako busy. Nifanye nini?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye...
1 Reactions
8 Replies
377 Views
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki. Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za...
6 Reactions
25 Replies
471 Views
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda...
9 Reactions
981 Replies
37K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima. Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Napata hasira kali sana kuona hawa Makanjanja wakiongelea mambo nyeti ya nchi kwa ushabiki na mzaha. Hawa watu wamejaa ujinga na masihara inatia aibu kuona wanavyoongea na kujaribu kuelezea...
5 Reactions
11 Replies
941 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,729
Posts
49,526,277
Members
667,225
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom