Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea...
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.
Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim...
#HABARI Mfanyabiashara wa madini Marwa Masese Festo (55) pamoja na mtoto wake John Marwa (30) wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, wameuawa baada ya kupigwa na vitu vizito kichwani na...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza.
Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa...
Wakuu kwema!!
Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.
Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa
Vitu...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.