Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Salaam, Shalom.
Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.
Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari!
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha salama siku hii ya leo na kwa wale wote ambao wanapitia changamoto mbalimbali hasa za kiafya kwa pamoja...
Hiii!
Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years.
Kwa...
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani...
viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby
■ kiti cha watu 2 vipo vi3
■meza 3
■stuli 6
inamaanisha...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena.
Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.