Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye...
17 Reactions
36 Replies
741 Views
Wadada wa jf Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife Na wamezaa watoto 2 Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba Shemeji hataki kufanya sex kabisa Dogo...
1 Reactions
12 Replies
170 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
3 Reactions
22 Replies
777 Views
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa. Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa...
9 Reactions
53 Replies
722 Views
Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel. Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia...
0 Reactions
6 Replies
228 Views
Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukalale tu. Ikulu mawasiliano TV zote za ndani kurusha mafanikio ya mama. Yaani...
4 Reactions
15 Replies
520 Views
Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani...
10 Reactions
34 Replies
709 Views
Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views

FORUM STATS

Threads
1,849,595
Posts
49,523,802
Members
667,179
Latest member
Enodius
Back
Top Bottom