Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza.
Yericko kaandika hivi huko Facebook;
Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi...
Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa...
Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!
Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Zanzibar ina beach nzuri sana na vivutio vingine vya utalii, Samia hajavigusa ameuza vya Tanganyika.
Unatetea ujinga kwa vile unafaidika na utawala wake na kusahau kuwa watoto wako na uzao wako...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat
Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2.
Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent...
Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.