Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja...
Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga.
Majirani...
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako?
Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye...
Jana ilikuwa moja ya siku za kughafirisha sana kwangu. Kuna kiwanja (lodge) huwa nachezea match za kujipima nguvu kabla ya kucheza mechi za ligi (ukioa usibweteke nenda kucheza match za nje kupima...
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KASHFA MBALIMBALI ZA BALOZI MTEULE WA RWANDA NCHINI TANZANIA GENERALI PATRICK NYAMVUMBA.
Ndugu Mheshimiwa...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.
1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE
Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.